• HABARI MPYA

  Monday, August 01, 2022

  LIVERPOOL YATWAA NGAO YA JAMII ENGLAND


  TIMU ya Liverpool Jumamosi ilitoa Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City Uwanja wa King Power Jijini Leicester, Leicestershire.
  Mabao ya Liverpool yalifungwa na Trent John Alexander-Arnold dakika ya 21, Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 83 na Darwin Gabriel Núñez Ribeiro dakika ya 90 na ushei, wakati bao pekee la Man City lilifungwa na Julián Álvarez dakika ya 70.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATWAA NGAO YA JAMII ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top