• HABARI MPYA

  Monday, August 01, 2022

  ENGLAND WATWAA EURO YA WANAWAKE 2022


  WENYEJI, England wamefanikiwa kutwaa taji la Euro 2022 Wanawake baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Ujerumani Jumapili Uwanja wa Wembley Jijini London.
  Mabao ya England yamefungwa na Ella Toone dakika ya 62 na Chloe Maggie Kelly dakika ya 110, wakati la Ujerumani limefungwa na Lina Maria Magull dakika ya 79.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND WATWAA EURO YA WANAWAKE 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top