• HABARI MPYA

  Monday, August 01, 2022

  KCCA YATWAA UBINGWA WA CAMBIASSO U20 DAR

  TIMU ya KCCA ya Uganda imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya vijanana chini ya umri wa miaka 20, Cambbiasso U20 Tournament baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Darves Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KCCA YATWAA UBINGWA WA CAMBIASSO U20 DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top