• HABARI MPYA

  Monday, August 01, 2022

  PSG YAITWANGA NANTES 4-0 KUTWAA TAJI LA MABINGWA UFARANSA


  TIMU ya Paris Saint-Germain imefanikiwa kutwaa Taji la Mabingwa Ufaransa, maarufu kama Champions Trophy baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Nantes Jumapili Uwanja wa Bloomfield Jijini Tel-Aviv nchini Israel.
  Mabao ya PSG yamefungwa na Lionel Messi dakika ya 22, Neymar  mawili dakika ya 45 na ushei na lingine dakika ya 82 kwa penalti, wakati la tatu limefungwa Sergio Ramos dakika ya 57.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG YAITWANGA NANTES 4-0 KUTWAA TAJI LA MABINGWA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top