• HABARI MPYA

  Thursday, August 05, 2021

  MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA SC, HASSAN BANYAI ALYEKUWA KOCHA WA NJOMBE MJI FC AFARIKI DUNIA LEO DODOMA

  KOCHA Hassan Banyai amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospital ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma alikokuwa anapatiwa matibabu ya Malaria. 
  Pamoja na kufundisha timu za Njombe Mji, Pamba FC na Geita Gold, enzi zake Banyai alichezea kadhaa za Ligi Kuu zikiwemo Banda Fc ya Mtwara naSimba SC ya Dar es Salaam.
  Mungu ampumzishe kwa amani. Amin.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA SC, HASSAN BANYAI ALYEKUWA KOCHA WA NJOMBE MJI FC AFARIKI DUNIA LEO DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top