• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 14, 2020

  WILLIAN AJIUNGA NA ARSENAL KWA MKATABA WA MIAKA MITATU

  Winga Mbrazil, Willian akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kama mchezaji huru kufuatia kumaliza mkataba wake Chelsea na atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 220,000.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka Chelsea baada ya kuitumikia kwa miaka sabana amekabidhiwa jezi namba 12 The Gunners 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WILLIAN AJIUNGA NA ARSENAL KWA MKATABA WA MIAKA MITATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top