NONGA AJIUNGA NA GWAMBINA ILIYOPANDA LIGI KUU BAADA YA LIPULI KUSHUKA DARAJA
MSHAMBULIAJI mkongwe, Paul Nonga amesaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na Gwambina FC ya Misungwi mkaoni Mwanza ambayo imepanda Ligi Kuu msimu huu akitokea Lipuli FC ya Iringa iliyoshuka.
0 comments:
Post a Comment