KIUNGO MKONGWE NA FUNDI WA MPIRA, ABDULHALIM HUMUD 'GAUCHO' AJIUNGA NA NAMUNGO FC
Kiungo mkongwe, Abdulhalim Humud 'Gaucho' amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya Namungo FC ya Ruangwa mkaoni Lindi ambayo msimu ujao itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika
0 comments:
Post a Comment