• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 07, 2020

  MAN UNITED KUMPA IGHALO NUSU YA MSHAHARA WA CHINA

  Mshambuliaji Muargentina, Odion Ighalo akiwa ameshika jezi ya Manchester United baada ya kutimiza ndoto za kujiunga nayo kwa mkopo kwa dau la Pauni Milioni 4 kutoka Shanghai Shenhua ya China. Ighalo ambaye amesema yeye ni 'shabiki kufa' wa United tangu akiwa mdogo kwao, Nigeria enzi hizo klabu hiyo inaongozwa na mshambuliaji, Andy Cole atakuwa analipwa Pauni 165,000 kwa wiki, nusu tu ya mshahara wake wa China, Paun 330,000 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED KUMPA IGHALO NUSU YA MSHAHARA WA CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top