• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 05, 2020

  LIVERPOOL YAICHAPA SHREWSBURY 1-0 NA KUSONGA MBELE FA CUP

  Chipukizi wa Liverpool, Neco Williams na Adam Lewis wakishangilia baada ya timu yao kupata bao pekee dakika ya 75, Ro-Shaun Williams akijifunga katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Shrewsbury Town jana Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa marudio Raundi ya Nne Kombe la FA, England kufuatia mchezo wa kwanza kumalizika kwa sare ya 2-2 Januari 26 Uwanja wa Montgomery Waters Meadow 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA SHREWSBURY 1-0 NA KUSONGA MBELE FA CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top