• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 08, 2020

  MAN CITY YAITANDIKA MAN UNITED 3-1 OLD TRAFFORD CARABAO CUP

  Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 33 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 17 na Andreas Pereira aliyejifunga dakika ya 38, wakati bao pekee la Man United lilifungwa na Marcus Rashford dakika ya 70 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAITANDIKA MAN UNITED 3-1 OLD TRAFFORD CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top