• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 05, 2020

  YANGA HII ILIIPIGA SIMBA 1-0 BAO PEKEE LA HANZURUNI MWAKA 1982

  KIKOSI cha Yanga SC kabla ya mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) dhidi ya watani wa jadi, Simba SC Aprili 29, mwaka 1982 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) Jijini Dar es Salaam. 
  Kutoka kulia waliosimama ni Suleiman Jongo, Charles Mwanga, Hashim 'Ramsey' Kambi, Burhan Hemedi, Rajab Tangale, Ayoub Shaaban, Juma Mkambi (sasa marehemu) na Ahmad Omari.
  Kutoka kulia waliochuchumaa ni Rashidi Hanzuruni (marehemu), Dunia Adonis, Shaaban Katwila, Rashidi Iddi Chama, Omar Hussein, Fadhil Rashidi, Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ na Bernard Madale (sasa marehemu). Yanga ilishinda 1-0, bao la dakika ya pili tu la Rashid Hanzuruni.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA HII ILIIPIGA SIMBA 1-0 BAO PEKEE LA HANZURUNI MWAKA 1982 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top