• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 07, 2020

  JUMA KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA KUSHIRIKI KOZI YA UKOCHA YA CAF YA DIPLOMA C

  Kipa mkongwe, Juma Kaseja wa KMC akiwa kwenye Kozi ya Ukocha ya Diploma C ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) iliyoanza leo makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume, Ilala mjini Dar es Salaam. Kozi hiyo ya siku 28 inashirikisha Makocha 30 

  Beki wa zamani wa Simba na timu ya taifa, Boniphace Pawasa naye pia anashiriki kozi hiyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JUMA KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA KUSHIRIKI KOZI YA UKOCHA YA CAF YA DIPLOMA C Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top