• HABARI MPYA

    Thursday, March 08, 2018

    JUVENTUS YAIBUKIA WEMBLEY, YAIPIGA 2-1 SPURS NA KUITUPA NJE

    Mshambuliaji mkongwe Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 64, kufuatia Son Heung-min kuanza kuwafungia wenyeji, Tottenham Hotspur dakika ya 39, kabla ya Paulo Dybala kuwafungia la ushindi wageni kutoka Italia dakika ya 67 wakiwalaza Spurs 2-1 Uwanja wa Wembley, London na kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa jumla wa 4-3, kufuatia sare ya 2-2 kwenye mchezo wa kwanza mjini Turin PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUVENTUS YAIBUKIA WEMBLEY, YAIPIGA 2-1 SPURS NA KUITUPA NJE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top