Mshambuliaji Mganda wa Simba SC, Emmanuel Okwi akimtoka mchezaji wa Al Masry ya Misri, Ahmed Abdalraof 'Shokry' Jumatano usiku katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 2-2.
Emmanuel Okwi, mchezaji wa zamani wa Yanga alimtaabisha mno Ahmed Shokry
Siku hiyo Emmanuel Okwi aliifungia Simba SC bao la kusawazisha na kuinusuru kulala 2-1 nyumbani
Alifunga kwa penaalti iliyopatikana kwa jitihada zake mwenyewe
Francis Ngannou's '18-month-old son dies'... as former UFC champion-turned
boxer shares heartbreaking post on social media
-
Reports broke in Cameroon surrounding the tragic news and the former UFC
champion-turned boxer (left) appeared to confirm this with a heartbreaking
social ...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment