Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza Alfred N'Diaye baada ya kuifungia Hull City bao la kwanza dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool Jumamosi Uwanja wa KCOM katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Hull City lilifungwa na Oumar Niasse dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment