• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 24, 2017

  SAMATTA ALIVYOIPIGANIA GENK JANA MICHUANO YA UEFA

  Mshambuliaji Mtanzania wa KRC Genk, Mbwana Samatta akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa FC Astra Giurgiu ya Romania usiku wa jana Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 32 Bora Europa League ya UEFA. Genk ilishinda 1-0 na kutinga hatua ya 16 Bora kwa ushindi wa jumla wa 3-2, baada ya wiki iliyopita kulazimisha sare ya 2-2 ugenini
  Hapa Samatta anadhibitiwa na mabeki wawili wa FC Astra Giurgiu
  Samatta ni kati ya wachezaji wa kuchungwa kwa sasa Ulaya
  Samatta wa pili kulia waliosimama katika kikosi cha Genk kilichoanza jana
  Samatta wa pili kushoto akishangilia na wenzake baada ya ushindi huo 
  Wachezaji wa Genk wakifurahia kwenda hatua ya 16 Bora ya Europa League  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOIPIGANIA GENK JANA MICHUANO YA UEFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top