• HABARI MPYA

  Friday, February 24, 2017

  AZAM DIARIES WAIPIGA JEKI DAR ATHLETIC YA LIVINGSTON

  Meneja wa Azam Diaries, ⁠⁠⁠Hussein Issa akimkabidhi jezi kiongozi wa timu ya Dar Athletic FC, Salim Aziz wiki hii kama msaada wao kwa timu hiyo ya Mtaa wa Livingston, Kariakoo, Dar es Salaam.
  Viongozi wa Dar Athletic na wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Azam Diaries 
  Dar Athletic wakavaa jezi hizo kwa mara ya kwanza juzi wakiheza mechi ya kirafiki na Bin Slum FC 
  Mechi hiyo iliyofanyika Uwanja wa kituo cha cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete, zamani Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, Dar es Salaam iliisha kwa sare ya 1-1 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM DIARIES WAIPIGA JEKI DAR ATHLETIC YA LIVINGSTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top