Zlatan Ibrahimovic akituliza mpira kifuani mbele ya beki wa Saint-Etienne, Kevin Theophile-Catherine katika mchezo wa marudiano hatua ya 32 Bora Europa League leo Uwanja wa Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Manchester United ikishinda 1-0, bao pekee la Henrikh Mkhitaryan dakika ya 16. Kwa ushindi huo Man United iliyomaliza pungufu baada ya Eric Bailly kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 63 inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-0 baada ya awali kushindaa 4-0 nyumbani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment