Lionel Messi akishangulia na mchezaji mwenzake, Neymar Junior baada ya kufunga bao lake la 20 msimu huu dakika ya 86 katika ushindi wa 2-1 wa Barcelona dhidi ya Atletico Madrid kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania. Bao lingine la Barcelona lilifungwa na Rafael AlcAntara do Nascimento 'Rafinha' dakika ya 64, wakati la Atletico lilifungwa na Diego Godin dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2026 Naismith Basketball Hall of Fame: Meet the latest class
-
The Naismith Memorial Basketball Hall of Fame welcomed its eight-person
2026 class on Saturday night.
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment