Kocha wa Simba, Mcameroon Joseph Marius Omog akisema na wachezaji wake wakati wa mchezo wa 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya African Lyon juzi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
Omog akitoa maelekezo kwa wachezaji wake katika mchezo huo wa Alhamisi
Hapa ni kama anafuatilia kitu kabla ya kusema kitu kama anavyoonekana katika picha ya chini



0 comments:
Post a Comment