• HABARI MPYA

  Saturday, February 25, 2017

  LOWASA ALIVYOCHEZA NA AKILI ZA MASHABIKI SIMBA NA YANGA LEO TAIFA

  Waziri Mkuu wa zamani nchini, Edward Lowasa aliyekuwa mgombea wa Urais wa CHADEMA na UKAWA katika uchaguzi Mkuu uliopita akiwapungia mkono mashabiki wa Simba kabla ya mchezo wao dhidi ya Yanga leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakishinda 2-1
  Hapa Lowasa aliyeshindwa na mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anawasalimia mashabiki wa Yanga
  Hapa Lowasa anasilimiana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye
  Hapa Lowassa anasalimiana na Rais wa TFF, Jamal Malinzi 
  Mashabiki wa Yanga wakiwa wamemgeukia Lowasa wakati anawasalimia
  Mashabiki wa Simba wakiwa wamemgeukia Lowasa wakati anawasalimia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LOWASA ALIVYOCHEZA NA AKILI ZA MASHABIKI SIMBA NA YANGA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top