Alvaro Morata aliyetokea benchi akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake wa Real Madrid baada ya kufunga bao bao la ushindi dakika ya 83 ikiwalaza wenyeji, Villarreal 3-2 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ceramica, Villarreal, Hispania. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Gareth Bale dakika ya 64 na Cristiano Ronaldo kwa penalti dakika ya 74, wakati ya wenyeji yalifungwa na Manu Trigueros dakika ya 50 na Cederic Bakambu dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CAF Young Reporters Programme concludes in Accra with internship
opportunities ahead
-
The CAF Young Reporters Programme concluded successfully on Friday in
Accra, Ghana, during the third day of the CAF African Schools Football
Championship.T...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment