• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 25, 2017

  HALI ILIVYO NJE YA UWANJA WA TAIFA SIMBA NA YANGA

  Umati wa watu nje ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa harakati za kuingia ndani kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya mahasimu, Simba na Yanga loe. Mchezo huo unaanza Saa 10:00 jioni
  Askari Polisi wa kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa mbele ya geti kuu Uwanja wa Taifa 
  Watu wanaelekea kuingia uwanjani, askari wanazidi kumiminika Taifa
  Shabiki wa Yanga akiendesha baiskeli yake kwa mbwembwe
  Mashabiki wa Simba wamemuweka kati shabiki wa Simba 
  Mashabiki wa Simba na Yanga kwa upendo wakipiga picha ya pamoja
  Wafanyabiashara ndogondogo nao wametumia fursa hii kujitafuia riziki
  Mashabiki wakipiga hesabu wakaingilie geti gani
  Askari wanamkagua kila anayeintia uwanjani, hata awe nani
  Akina mama wakijitafutia riziki kwa kuuza vinywaji nje ya Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HALI ILIVYO NJE YA UWANJA WA TAIFA SIMBA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top