Nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi akiangalia juu baada ya kufunga kwa mpira wa adhabu dakika ya 40 kuipatia timu yake bao la pili timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paco Alcacer dakika ya 18 na Aleix Vidal dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment