• HABARI MPYA

  Sunday, February 26, 2017

  ENZI ZA RAHA ZAANZA KUREJEA MAN UNITED, WABEBA 'NDOO' YA KWANZA CHINI YA MOURINHO

  Wachezaji wa Manchester United wakifurahia na taji lao la Kombe la Ligi England baada ya kuifunga Southampton mabao 3-2 leo katika fainali Uwanja wa Wembley, London. Mabao ya Man United yamefungwa na Zlatan Ibrahimovic mawili dakika za 19 na 87 na Jesse Lingard dakika ya 38, wakati ya Southampton yamefungwa na Manolo Gabbiadini yote dakika za 45 na ushei na 48, hilo likiwa taji la kwanza la kocha Mreno, Jose Mourinho tangu ajiunge na Mashetani hao Wekundu msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENZI ZA RAHA ZAANZA KUREJEA MAN UNITED, WABEBA 'NDOO' YA KWANZA CHINI YA MOURINHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top