• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 28, 2017

  WAMBURA ANAJUA NAPE ALICHOWAAMBIA MSUVA NA JUMA ABDUL KABLA YA MECHI NA SIMBA JUMAMOSI

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye (mwenye shati la drafti) akizungumza na wachezaji wa Yanga, Simon Msuva (kulia) na Juma Abdul (katikati yao) kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Simba Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Anayewasikiliza kushoto kabisa ni Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Boniphace Wambura. Simba ilishinda 2-1 siku hiyo 
  Nape alianza kuzungumza na Msuva baada ya kuwafikia wachezaji hao
  Ni kama Nape alimuambia jambo Msuva, ambaye naye akamshirikisha Juma Abdul
  Wakamaliza maongezi yao mafupi na kwa pamoja wakaagana kwa vicheko
  Na kiungo Haruna Niyonzima naye hakuwa mbali nao sana, kwani yeye ndiye aliyekuwa anamuongoza Nape kumtambulisha wachezaji wa Yanga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAMBURA ANAJUA NAPE ALICHOWAAMBIA MSUVA NA JUMA ABDUL KABLA YA MECHI NA SIMBA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top