KEVIN YONDAN ALICHEZA PAMOJA NA MACHUPPA, ULIMBOKA, GABRIEL SIMBA
Kikosi cha Simba mwaka 2007; kutoka kulia waliosimama ni George Owino, Emmanuel Gabriel, Nassor Masoud ‘Chollo’, Juma Kaseja, Athumani Machuppa na Henry Joseph. Waliopiga magoti kutoka kulia ni Kevin Yondan, Ulimboka Mwakingwe, Moses Odhiambo, Ramadhani Wasso na Mohammed Banka
0 comments:
Post a Comment