MBOWE ALIVYOTINGA NA MTOTO WEMA TAIFA JANA, BAHATI MBAYA YANGA YAO IKAPIGWA
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na mwigizaji nyota wa Bongo Muvi, Wema Sepetu aliyejiunga na chama hicho juzi wakiingia Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa mahasimu wa hadi, Simba na Yanga
Wema na Mbowe wote ni Yanga ambayo ilifungwa 2-1 na Simba jana
0 comments:
Post a Comment