Lionel Messi akipongezwa na mchezaji mwenzake, Neymar baada ya kuifungia Barcelona mabao yote mawili dakika za nne na dakika ya 90 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leganes kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Bao la Leganes lilifungwa na Unai Lopez dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2026 Naismith Basketball Hall of Fame: Meet the latest class
-
The Naismith Memorial Basketball Hall of Fame welcomed its eight-person
2026 class on Saturday night.
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment