• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 19, 2017

  YANGA NA NGAYA KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa akimiliki mpira mbele ya beki wa Ngaya de Mde ya Comoro katika mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Yanga imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya awali kushinda 5-1 ugenini

  Kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita kiungo wa Ngaya 
  Kipa wa Ngaya, Said Mmadi akiwa amedaka mpira katikati ya wachezaji wa Yanga, Emmanuel Martin (kulia) na Thabani Kamusoko (kushoto) 


  Winga wa Yanga, Simon Msuva akiambaa na mpira huku akipiha hesabu na kutia krosi langoni mwa Ngaya 
  Beki wa Yanga, Vincent Bossou akimtoka mshambuliaji wa Ngaya 


  Mshambuliaji wa Ngaya, Mounir Moussa akimuacha kiungo wa Yanga, Deus Kaseke


  Beki wa kulia wa Yanga, Juma Abdul aakiambaa na mpira dhidi ya beki wa Ngaya
  Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Martin akimtoka beki wa Ngaya 

  Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Taifa


  Kikosi cha Ngaya jana Uwanja wa Taifa   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA NGAYA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top