• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 28, 2017

  LEICESTER YAISHUGHULIKIA LIVERPOOL, YAIKUNG'UTA 3-1 KING POWER

  Jamie Vardy akiruka juu kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la tatu kati ya mawili aliyofunga dakika za 28 na 60 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Bao lingine la Leicester lilifungwa na Danny Drinkwater dakika ya 39, wakati la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 68. Ushindi huo unakuja siku nne baada ya kufukuzwa kocha Claudio Ranieri PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEICESTER YAISHUGHULIKIA LIVERPOOL, YAIKUNG'UTA 3-1 KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top