Nyota wa Tottenham Hotspur, Dele Alli akiangalia juu kwa masikitiko wakati anatoka nje baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 39 kwa kucheza rafu katika mchezo wa marudiano wa 32 Bora Europa League usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London wakilazimishwa sare ya 2-2 na Gent ya Ubelgiji. Mabao ya Spurs yalifungwa na Christian Eriksen dakika ya 10 na Victor Wanyama dakika ya 61, wakati ya Gent Harry Kane alijifunga dakika ya 20 na la pili akafunga Jeremy Perbet dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2026 Naismith Basketball Hall of Fame: Meet the latest class
-
The Naismith Memorial Basketball Hall of Fame welcomed its eight-person
2026 class on Saturday night.
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment