Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania akiongea kwa hisia kali jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwenye jukwaa ambalo huketi mashabiki wa Simba wakati wa mchezo baina ya timu hiyo na African Lyon hatua ya 16 Bora kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC). Simba ilishinda 1-0
'Afande Bonge' alitumia muda mwingi kidogo kuzungumza kwa hisia kali
Wengine wanamskiliza, wengine wanaendelea kuangalia mpira
Kuna wakati Afande Bonge naye alitulia kusikiliza wengine
Lakini muda mrefu aliongea mwenyewe kwa msistizo




0 comments:
Post a Comment