• HABARI MPYA

  Sunday, February 19, 2017

  WAZUNGU WA YANGA KWA RAHA ZAO JANA TAIFA

  Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya timu yao na Ngaya Club de Mde Comoro jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 na Yanga imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya kushinda 5-1 mjini Moroni Jumapili iliopita katika mchezo wa kwanza  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZUNGU WA YANGA KWA RAHA ZAO JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top