• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 26, 2017

  SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji Mrundi wa Simba, Laudit Mavugo akipiga kichwa mbele ya beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1 
  Beki wa Simba, Janvier Besala Bokungu akiondoka na mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe
  Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akipinda krosi pembeni ya wacheaji wa Yanga  
  Kiungo wa Simba, Said Ndemla akipiga shuti mbele ya wachezaji wa Yanga
  Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (kulia) akivuta mpira dhidi ya beki wa Yanga, Kevin Yondan
  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimiliki mpira mbele ya viungo wa Simba Muzamil Yassin (kulia) na Mobammed Ibrahim (katikati)
  Viungo James Kotei wa Simba (kulia) na Juma Mahadhi Yanga (kushoto)
  Mashabiki wa Simba wakifurahia kazi ya wachezaji wao jana Uwanja wa Taifa
  Kikosi cha Yanga jana
  Kikosi cha Simba jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top