• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 22, 2017

  GRIEZMANN 'WA MAN UNITED' AWEKA REKODI MPYA ULAYA, ATLETICO YAWAFUMUA WAJERUMANI 4-2 KWAO

  Mshambuliaji Mfaransa anayetakiwa na Manchester United, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuweka rekodi mpya ya kuwa mchezaji aliyeifungia mabao mengi zaidi kwenye michuano ya Ulaya, klabu yake ya sasa, Atletico Madrid ya Hispania kufuatia kufunga bao moja usikku wa jana dakika ya 25 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Bayer Leverkusen Uwanja wa BayArena, Leverkusen, Ujerumani kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Atletico yalifungwa na Saul Niguez Esclapez dakika ya 17, Kevin Gameiro dakika ya 58 kwa penalti na Fernando Torres dakika ya 86, wakati ya wenyeji yalifungwa na Karim Bellarabi dakika ya 48 na Stefan Savic dakika ya 67 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GRIEZMANN 'WA MAN UNITED' AWEKA REKODI MPYA ULAYA, ATLETICO YAWAFUMUA WAJERUMANI 4-2 KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top