• HABARI MPYA

  Sunday, February 19, 2017

  IBRAHIMOVIC AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED KOMBE LA FA

  Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 75 ikiwalaza wenyeji, Blackburn Rovers 2-1 usiku huu Uwanja wa Ewood Park mjini Blackburn, Lancashire katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England. Danny Graham alianza kuifungia Rovers bao la kuongoza dakika ya 17, kabla ya Marcus Rashford kuisawazishia United dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top