• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 28, 2017

  MKUDE ALIKUWA ‘ANAMUWAKIA’ NINI HAPA AGYEI?

  Kiungo wa Simba, Jonas Mkude (kulia) akizungumza na kipa wake, Daniel Agyei wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wa jadi, Yanga Jumamosi ya Februari 25, 2017 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MKUDE ALIKUWA ‘ANAMUWAKIA’ NINI HAPA AGYEI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top