• HABARI MPYA

  Sunday, February 19, 2017

  KANE AGONGA HAT TRICK, SPURS YAIPIGA 3-0 FULHAM KOMBE LA FA

  Mshambuliaji wa umri wa miaka 23, Harry Kane akiifungia bao la pili kati ya matatu timu yake, Tottenham Hotspur katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Fulham kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA, England leo Uwanja wa Craven Cottage mjini London PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANE AGONGA HAT TRICK, SPURS YAIPIGA 3-0 FULHAM KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top