• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 27, 2017

  NA BENDERA ZA CHADEMA ZILITAMBA JUZI UWANJA WA TAIFA

  Shabiki wa Simba akipeperusha bendera ya CHADEMA katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1
  Lakini alikuwa akifanya kwa ujanja mno ili Polisi wasimuone
  Polisi wakijipindua alikuwa akiinyoosha bendeta yake
  Hapa ni wakati anaingia ameificha bendera yake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NA BENDERA ZA CHADEMA ZILITAMBA JUZI UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top