Kiungo wa Leicester City, Wilfred Ndidi akienda chini baada ya kumzunguka Joaquin Correa wa Sevilla katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla. Wenyeji wameshinda 2-1, mabao yao yakifungwa na Pablo Sarabia dakika ya 25 na Joaquin Correa dakika ya 62 ambaye awali alikosa penalti iliyookolewa na kipa Kasper Schmeichel dakika ya 14, wakati bao la Leicester lilifungwa na Jamie Vardy dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Meet the heavyweight who teaches sign language
-
Meet Grace Buckle, a unique heavyweight who wants to make the women's
heaviest division as big as the men's.
53 minutes ago
0 comments:
Post a Comment