• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 19, 2017

  GUARDIOLA AGEUKA MBOGO MAN CITY IKILAZIMISHWA SARE NA 'KITIMU KIDOGO'

  Kocha Pep Guardiola akimfokea mchezaji wake, Fabien Delph wakati akimpumzisha kiungo huyo katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA jana Manchester City ikilazimiswa sare ya 0-0 na Huddersfield Uwanja wa John Smith mjini Huddersfield, West Yorkshire PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GUARDIOLA AGEUKA MBOGO MAN CITY IKILAZIMISHWA SARE NA 'KITIMU KIDOGO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top