KENNETH PIUS MKAPA NA SAIDI NASSOR MWAMBA ‘KIZOTA’ WALIKUWA HATARI
Wachezaji wa Yanga SC, beki na Nahodha Kenneth Pius Mkapa (kushoto) na mshambuliaji Said Nassor Mwamba ‘Kizota’ (kulia, sasa marehemu) wakati wa mapumziko katika moja ya mechi zao mwaka 1993
0 comments:
Post a Comment