• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 19, 2017

  BALOTELLI ALIMWA KADI NYEKUNDU YA TATU UFARANSA

  Mario Balotelli akiondoka uwanjani kinyonge baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu na refa Tony Chapron dakika ya 65 jana, hiyo ikiwa mara ya tatu tangu ahamiw Ufaransa msimu huu katika mchezo dhidi ya wenyeji, Lorient jana Uwanja wa Yves Allainmat mjini Le Moustoir. Nice ilishinda 1-0 hata hivyo, bao pekee la Wylan Cyprien dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALOTELLI ALIMWA KADI NYEKUNDU YA TATU UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top