• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 23, 2017

  RONALDO AFUNGA MECHI YA 700, LAKINI REAL 'WAKALISHWA' MESTALLA

  Cristiano Ronaldo akiwa ameanguka mbele ya beki wa Valencia, Eliaquim Mangala katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumatano Uwanja wa Mestalla mjini Valencia wenyejinwakishinda 2-1. Mabao ya Valencia yalifungwa na Simone Zaza dakika ya nne na Fabian Orellana dakika ya tisa, wakati la Real lilifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 44 akicheza mechi ya 700 tangu ajiunge na timu ya Madrid kutoka Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MECHI YA 700, LAKINI REAL 'WAKALISHWA' MESTALLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top