• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 20, 2017

  LWANDAMINA ANAPOKUWA KAZINI...

  Kocha wa Yanga, George Lwandamina akipaaza sauti kuzungumza na wachezaji wake wakati wa mchezo wa marudiano juzi Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya Club de Mde ya Comoro Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 na Yanvga imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya awali kushinda 5-1 mjini Moroni, Comoro.
  Lwandamina alijitahidi sana kuzungumza na wachezaji wake, lakini haikusaidia kubadili matokeo
  Alitumia muda mwingi kusimama kutoa maelekezo kwa wachezaji wake
  Kuna wakati alionyesha kabisa kukasirishwa na mambo yanavyoendelea uwanjani
  Hapa anatoa maelekezo kwa vijana wake kwa maneno na vitendo
  Lwandamina hakufurahishwa kabisa na sare ya juzi dhidi ya Ngaya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LWANDAMINA ANAPOKUWA KAZINI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top