Zlatan Ibrahimovic na Anthony Martial wakipongezana baada ya kila mmoja kuifungia mabao mawili Manchester United katika ushindi wa 4-1 usiku wa jana kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England dhidi ya West Ham United Uwanja wa Old Trafford. Ibra alifunga bao la kwanza na la nne dakika ya pili na 90 na ushei, wakati Martial alifunga la pili na la tatu dakika ya 48 na 62 huku bao la West Ham likifungwa na kinda wa zamani wa United, Ashley Fletcher na Mashetani Wekundu sasa watakutana na Hull City katika Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Alhamisi, Desemba 01, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni