Thomas Muller akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la tatu na la pili kwake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Norway kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Ullevaal mjini Oslo. Bao lingine la Ujerumani lilifungwa na Joshua Kimmich PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Belgium make light work of US to set up quarter-final tie with Spain
-
Belgium ease past a defensively sloppy USA in a match shrouded in
controversy surrounding Folarin Balogun's delayed suspension, a scandal
that made little ...
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment