Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia hat trick timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 ya England katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Norway usiku wa jana kuwania tiketi ya Euro 2017. Mabao mengine ya England yalifungwa na Nathaniel Chalobah, Ruben Loftus-Cheek na Lewis Baker, wakati la kufutia machozi la Norway lilifungwa na Ghayas Zahid mjini Colchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England into quarter-finals - what is their path to the final?
-
BBC Sport takes a look at what England will need to do to reach the final
after progressing the quarter-finals.
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment